aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, June 2, 2014

VILIO VYATAWALA MKOANI MOROGORO WAKATI MWILI WA MTOTO ALIYEFICHWA NDANI YA BOKSI UKIWASILI HOSPITALI YA RUFAA-MORO


 Waombolezaji wakiangua kilio baada ya mwili wa marehemu Nasra Rashid (4) kuwasili mkoani Morogoro.

 Wanahabari wakichukua matukio wakati mwili wa mtoto Nasra ukiwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.


 Mwili wa Nasra ukipelekwa mochwari kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.