aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, June 1, 2014

MWILI WA GEORGE TYSON WAWASILI KAIRUKI JANA, VILIO VYATAWALA

...Gari hilo baada ya kuwasili na mwili wa Tyson.

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa George Tyson kuupeleka mochwari. 
Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiingizwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki, Mikocheni jijini Dar.
Mwili wa Tyson ukiwa mochwari katika Hospitali yaKairuki.
Dada wa marehemu Tyson, Doreen akilia kwa simanzi baada ya mwili wa kaka yake kuwasili.
...Doreen akiwa amepoteza fahamu baada ya mwili wa kaka yake kuwasili Hospitali ya Kairuki.
Gari lililobeba mwili wa marehemu Tyson, aina ya Toyota Land cruiser lenye namba za usajili STK 6630 kutoka Wilaya ya Mvomero likiwasili Hospitali ya Kairuki kutoka mkoani Morogoro.

Mastaa wa filamu, Rose Ndauka (kushoto) na Jack Pentzel wakiwa Hospitali ya Kairuki kuupokea mwili wa Tyson.

No comments:

Post a Comment