aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, June 3, 2014

ULEVI WAMPELEKA KUBAYA O-TEN

o-ten

Unaweza kuona ni kiasi gani maisha ya kupanda na kushuka kwa kila mtu kwani kwa upande wa O-ten mambo hayamuendei vizuri kabisa kwa kifupi anahitaji maombi ya mama Rakwatare kwani hali yake sio na ulevi aka gambe limepitiliza.

O-ten aliye-hit na ngoma yake kali ya nicheki na baadae kuwa muhimili mzuri wa East Coast team iliyokuwa chini ya Crazy Gk na member kama Mwanafa na Ay, mkali huyo kwa sasa yuko Moro town ambako ndio home kwao, baada ya nicheki tunakaamua kumcheki tulimpomkuta kidogo ikawa shida kwani alikuwa gambe mbaya na huku uso wote ukiwa na manundu tena akilia kama aliyefiwa.

 Baada ya kutaka kujua undani ya yaliyomkuta ndio akafunguka kwamba amepigwa sana na vijana bila ya sababu yeyote lakini tulipofuatilia tukaona ni suala la ulevi wa kupindukia.

No comments:

Post a Comment