aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, June 2, 2014

JE WAJUA BEI YA KIATU HIKI CHA K-LYINN.....NI ZAIDI YA BEI YA VITZ

LEO KATIKA PITAPITA KWENYE KURASA ZA WAREMBO  HUKO INSTAGRAM...NIMEKUTANA NA HICHI KIATU CHA  MWANAMAMA JACQUELINE NTUYABALIWE AKA K-LYINN..KIUDAKU

udaku nikaona ngoja ni GUGO bei ya hiki kiatu....Duh kucheki bei yake nikachoka mwenyewe...ni zaidi ya gari aina ya VITZ (USED lakini..hizi ndio wabongo wengi tunazimudu)....Hehehe sio ishu yote maisha...ni zaidi ya shilingi Milioni Tatu na Nusu (ONLINE) na hapo bado haujaletewa...Kumbuka hiki nikiatu tu, bado gauni, pochi...nywele....nk...Dah huyu si anatembe na M-KUMI kabisa.... Jionee mwenyewe hapa

Kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM alikuwa ameweka picha hii: