aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, June 15, 2014

WIMBO MPYA WA MR BLUE – MAPENZI UPO HAPA

Hii kazi mpya ya Mr Blue imesimamiwa Njo Studio, Imetoka Alhamisi ya tarehe 12 June 2014. Rekodi inaitwa Mapenzi na humu amezungumza kuhusu mapenzi kwenye maisha, kwenye muziki na jinsi mapenzi yalivyoteka dunia.