aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, September 1, 2013

CHEKI KILI MUSIC TOUR 2013 ILIVYOWAPAGAWISHA WAKAZI WA KIGOMA



Ziara ya wanamuziki waliofanya vizuri mwaka 2012 maarufu kama Kilimanjaro

 Music Tour 2013 iliyopewa kaulimbiu ya Kikwetu kwetu imefanyika mkoani Kigoma na 
kuvunja rekodi ya mahudhurio katika uwanja wa Lake Tanganyika baada ya maelfu ya 
wakazi wa mji wa Kigoma na maeneo ya jirani kufurika kwa wingi kuwashuhudia wasanii 
wakali 12 waliopanda jukwaani. Kivutio kikubwa katika tamasha hilo ilikuwa ni
 wanamuziki wanne wanaounda kundi la Kigoma All Stars, Diamond, Mwasiti, Linex na
 Recho kupanda mwishoni na kuimba wimbo wao maarufu wa Leka Dutigite na kupata 
shangwe kubwa toka kwa mashabiki. Hizi ni baadhi ya picha za matukio yaliyotokea.



























No comments:

Post a Comment