aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, September 26, 2013

MAMA ANASWA AKIWA AMEMBEBA KWA MBELEKO MTOTO WA MBUZI MGONGONI HUKU AKIKATIZA MITAA.....WATU WAPIGWA NA BUTWAA NJIA NZIMA...!!


Na Rashid Mkwida — Katika hali isiyozoeleka, mwanadada huyu alikutwa na kamera ya Mkwidna blog katika mitaa ya Jijini Dar es salaam akihaha na mwanambuzi mgongoni huku mwanambuzi huyo akilia mee meee!!



 Mwanadada huyo alilazimika kumbembeleza kwa  kujaribu  kumnyonyesha mwanambuzi huyo aliyekuwa akilia kwa sauti kiasi cha kuwashangaza wapita njia..


 Kuna wakati mwanambuzi huyo alitaka kuchoropoka katika mbeleko ya mwanadada huyo lakini mwanadada huyo alijitahidi kuifunga vyema mbeleko yake ili mwanambuzi huyo akae vyema, haikufahamika mara moja mwanadada huyo alikuwa akimpeleka wapi mwanambuzi huyo.

No comments:

Post a Comment