aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, September 24, 2013

SHETTA YAMEMKUTA BAADA YA KUDHANIWA KABEBO BOMU KUMBE NI PERFUME..!!


sheta223
Shetta kwa siku kadhaa alikuwa Kenya akifanya show na kurekodi ngoma kwenye studio za huko. Information kutoka kwakwe mwenyewe zinasema kwamba amepata matatizo ya kukamatwa na polisi kutokana na chupa ya perfume aliyobeba kufanana na umbo la bomu.According to Shetta ni kwamba alihojiwa na polisi na baadae kuachiwa huru.
sheta3
sheta1
sheta2

No comments:

Post a Comment