aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, September 29, 2013

PICHA ZA MSHINDI WA MISS WORLD NA NAMNA TUKIO ZIMA LILIVYOKUWA CHEKI HAPA.


Miss Philippines Megan Young mwenye umri wa miaka 23 amevishwa taji la Miss World ambalo limefanyika huko Indonesia. Megan ni mzaliwa wa Marekani na ana umri wa miaka 23 anasomea mambo ya digital film. Mshindi wa pili ametoka France na watatu kutoka Ghana. 
Megan akitoa hotuba ya shukrani baada ya kuvishwa taji na Wenxia Yu wa China ambaye ndiyo Miss World aliyemaliza muda wake, Megan ameahidi kuwa miss world bora zaidi ya waliowahi kutokea. 






No comments:

Post a Comment