aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, September 26, 2013

"SIPIMWI UKIMWI NG'OO"....JOHARI


STAA wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa hana mpango wa kupima ‘ngoma’ kama ilivyoripotiwa katika baadhi ya vyombo vya habari.
Akiongea na paparazi wetu, Johari alisema hakufurahishwa sana na taarifa hizo za kupima ugonjwa huo na kusema ukweli ni kwamba yeye hajawahi na wala hana mpango wa kupima.
Nachukia sana watu kusema kuwa eti tunapimisha watu Ukimwi, nahisi kuna mtu anataka kunichafulia tu. Sisi wote hapa RJ hatujapima Ukimwi wala hatuna mpango wa kufanya hivyo,” alisema Johari.

No comments:

Post a Comment