aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, September 29, 2013

AJALI

Bajaj yenye namba za usajili T884 CBA baada ya kugongwa na gari katika barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City jijini Dar.
Askari wa usalama barabarani akiwa eneo la ajali kuchukua vipimo.
Wananchi wakiiondoa bajaj eneo la ajali baada ya askari wa usalama barabarani kuchukua vipimo vyake.

No comments:

Post a Comment