


Wakwanza kulishwa keki alikuwa Lady Jay Dee.

Wa pili kula keki alikuwa mama wamtoto wa Dj Choka anaitwa mama Harrison



Kushoto ni mdogo wake Dj Choka wa pili anaitwa Neema halafu mama Harrison harafu mdogo wa tatu na wa mwisho kwenye familia yao anaitwa Judy.

Lady Jay Dee na wifi yake mama Harrison

Monica, Rechal Temu na Mama Harrison.
No comments:
Post a Comment