HUU wimbo hatari tupu.Inaelezea maisha ya Diamond kabla hajatoka kimuziki.Dogo aloimba anadai Diamond ni ndugu yake wa damu na hakumbuki alipotoka.Duuh kaongea mambo mengi sana.Sina mbavu kwa kweli.Isikilize hapa Chini.Ni balaa tupu.Ni bonge moja la Ngoma,AUDIO HII HAPA CHINI
Saturday, September 28, 2013
BAADAYA KUTOSWA NA DIAMOND, MDOGO WAKE DIAMOND AIMBA NYIMBO YA KUMPONDA KAKA YAKE....SIKILIZA WIMBO HUO HAPA UVUNJE MBAVU ZAKO....!!!
HUU wimbo hatari tupu.Inaelezea maisha ya Diamond kabla hajatoka kimuziki.Dogo aloimba anadai Diamond ni ndugu yake wa damu na hakumbuki alipotoka.Duuh kaongea mambo mengi sana.Sina mbavu kwa kweli.Isikilize hapa Chini.Ni balaa tupu.Ni bonge moja la Ngoma,AUDIO HII HAPA CHINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment