aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, September 24, 2013

UPDATES: JESHI LA KENYA LAFANIKIWA KUWAUA MAGAIDI 3 NA KUWANUSURU ZAIDI YA RAIA 200 KATIKA JENGO LA WESTAGE HIVI PUNDE...!!

 
NAIROBI; KENYA: Kenya Defence Forces ( KDF ) ina taarifa kwamba magaidi watatu wameuawa na Askari 11 wa kenya kujeruhiwa katika  operesheni ambayo imedumu kwa zaidi ya masaa 48.

Hii inafuatia milio ya risasi za hapa na pale kuendelea ambayo ilikuwa habari katika jengo la Westgate

"Jambo la kusikitisha ni kwamba askari 11 wa KDF  wamejeruhiwa katika operesheni hii na sasa wanapokea matibabu katika Hospitali ya Jeshi la Ulinzi Memorial, "alisema msemaji wa KDF katika Twitter.

Askari 11 wamejeruhiwa katika operesheni hiyo na wanapokea matibabu katika Hospitali ya Jeshi la Ulinzi Memorial.

Wizara  Mambo ya ndani imetoa taarifa kupitia Akaunti yake Twitter @ InteriorKE kwamba wampewatia mbaroni watu zaidi ya 10 kwa ajili ya kuwahoji juu ya uhusiano yaliyotokea Westgate Mall.

KDF pia wametoa taarifa kwamba  zaidi ya raia 200 wamekuwa waliokolewa na wengine 65 wanapata matibabu katika hospitali mbalimbali, na 62  wamethibitisha kuwa wafu.

No comments:

Post a Comment