aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, September 29, 2013

VIDEO: Huyu Mkenya ni Mwanamke Au Mwanaume?


Ni mwanamke au mwanaume, ndilo suali ambalo wengi hujiuliza pindi wanapokutana naye kwa mara ya kwanza, hata hivyo Keziah Njeri kutoka eneo la Muriru, Nyeri anakubali kuwa anapenda starehe za wanaume kuliko za kike, na kama anavyotueleza mwanahabari wetu Shisia Wasilwa, Keziah hufanya kazi za sulubu ili kujikimu. Ombi lake kwa serikali kuhamasisha wenyeji dhidi ya maumbile yake ili asinyanyapaliwe.

No comments:

Post a Comment