aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, September 26, 2013

BINTI WA SEKONDARI ALALAMIKA MARA BAADA YA DADA YAKE KUMPA Tshs. 800/= KAMA NAULI YA KWENDA SHULE NA KURUDI YA SIKU 7..!!



Shilingi mianane (800/=) imezua kizazaa kwa  huyu binti baada ya dada yake kumkabidhi kiasi hicho cha fedha kwa matumizi ya nauli ya siku 7 ( kwenda  na  kurudi )  bila hela ya matumizi shuleni. 

Binti huyo aliitumia fedha hiyo kwa nauli na iliyobaki alinunulia chakula baada ya njaa kumzidi uwezo. 

Kitendo hicho kilimkasirisha dada yake na kumpa adhabu ya kutembea kwa mguu kwenda na kurudi shuleni kwa siku sita  zilizosalia bila hata hela ya kula na akirudi lazima akaguliwe kama kafika shuleni. 

Je! Huu ni uungwana?.

No comments:

Post a Comment