aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, September 26, 2013

KIMWANA WA BONGO MOVIE ADATISHWA NA MAHABA YA MGHANA VAN VICKER KITANDANI....ADAI KUWA NI MTUNDU KUPITILIZA..!!



STAA wa sinema za Kibongo, Irene Paul amesema ameridhishwa na uwezo wa mkali wa sinema za Kinigeria, Joseph Van Vicker akidai ni jasiri na mjuzi sana katika ‘sini’ za malovee.
Akizungumza na Amani mwishoni mwa wiki iliyopita, Irene alisema kuwa pamoja na kuigiza naye kwa mara ya kwanza ‘scene ya on bed’ lakini Vicker alionesha uzoefu wa hali ya juu utadhani wanafahamiana kitambo, jambo lililomshangaza na kujikuta akiingiwa na woga.
 “Jamaa utadhani tunafahamiana, alinikabili kitandani kwa kiwango kikubwa sana, nilipata hofu kubwa mno. Van anajua kuigiza jamani, kwangu hii ni bahati ambayo namshukuru Mungu kuipata, wengi waliililia,” alisema Paul.
Van aliibuka Bongo na kuondoka wiki iliyopita kwa ajili ya kushuti sinema moja na wasanii wa nyumbani ambayo bado haijapatiwa jina.

No comments:

Post a Comment