aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, September 29, 2013

TAMBWE, MESSI WAPELEKEA KILIO JKT RUVU

Betram Mombeki akibusu kiatu cha Ramadhan Singano 'Messi' (kushoto) baada ya kuipachikia Simba bao la pili.
Mashabiki wa Simba SC wakiwa katika mashamsham.
Mshambuliaji Hamis Tambwe akishangilia bao la kwanza alilofunga kwa mkwaju wa penalti.
Benchi la JKT Ruvu.
Benchi la Simba SC.
Wachezaji wa Simba SC, Hamis Tambwe na Ramadhan Singano 'Messi', leo wamepeleka kilio kwa timu ya  JKT Ruvu. Wachezaji hao wameifungia Simba na kuifanya kuibuka kifua mbele kwa mabao 2-0 dhidi ya  JKT Ruvu. Tambe alifunga bao la kwanza kwa mkwaju wa penalti kabla ya Messi kuipatia Simba bao la pili.

No comments:

Post a Comment