
Ray C bado yumo sana tu na mambo yake ya kiuno bila mfupa,cheki hii video fupi akiwa studio pamoja na mmoja ya msanii anayeunda kundi la Makomando. Pia unatapa kusikia kipande cha moja ya wimbo anaorekodi Ray C hivi sasa.
aaaaa
The main purpose of this Blog is to share my knowledge with the world..You Are Warmly Welcomed Contacts:husseinngenje@yahoo.com +79264327067
No comments:
Post a Comment