The main purpose of this Blog is to share my knowledge with the world..You Are Warmly Welcomed
Contacts:husseinngenje@yahoo.com
+79264327067
Ads 468x60px
Saturday, September 21, 2013
VIDEO YA JANUARY MAKAMBA AKIONGELEA NIA YAKE YA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2015..!
Mahojiano haya yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia Star TV kwenye kipindi cha Medani za Siasa na Uchumi. Mambo yaliyozungumziwa: 1. Uendeshaji na mwelekeo wa Bunge, 2. Vijana na Uongozi, 3. Suala la Urais 2015, 4. Mwelekeo wa Chama Cha Mapinduzi, 5. Rushwa na maadili katika Chaguzi.
No comments:
Post a Comment