aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, September 17, 2013

VIDEO: What?!? Huyu J Martins alichomfanyia Ommy Dimpoz sio kudhalilishana huku?

Ebaa Jamaa, kwenye hii video Ommy Dimpoz na J Martins walikua wanaimba pamoja na kuitikiana pamoja poa tu ndani ya Bilicanas jana. Lakini kilichotokea katikati ya hii video (kuanzia kwenye dakika 3 na sekunde 18 ) kimenishangaza kidogo. Walikua wanaimba kwa staili ya kuitikiana(call & response) lakini ghafla J Martins akaanza kumkosoa Ommy Dimpoz kwamba anavyoimba sivyo na kuanza kumuelekeza aimbe vipi, katika njia ambayo ni very patronizing, kama anaongea na mtoto au mwanafunzi vile; mbele ya mashabiki!! Sikiliza kuanzia pale anapoanza kumwambia “no no no no… you have to be sensual (imba kwa sauti nyororo.)” Hivi si ni kuvunjiana heshima jamani?

No comments:

Post a Comment