aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, September 17, 2013

Picha: Aljazeera wamfuata Lameck Ditto Dar kufanya naye interview

Kituo cha runinga chenye makao yake makuu, mjini Doha, Qatar, Aljazeera jana kimefanya mahojiano na msanii wa THT, Lameck Ditto.
Ditto ameshare picha za interview hiyo kwenye kurasa zake za Twitter na Facebook.
923375_10151634764453059_147396211_nLameck Ditto akiongea na waandishi wa Aljazeera
76080_10151634764793059_1030834555_nLameck Ditto kwenye picha ya pamoja na waandishi wa kituo hicho cha TV
“Nimepata nafasi ya kufanya mahojiano na kituo kikubwa cha tv duniani cha Aljazeera leo,” aliandika Ditto.
1186155_10151634763323059_464672485_n
SOURCE: BONGO5

No comments:

Post a Comment