aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, September 18, 2013

PHOTOS: Mshindi wa BBA, Dillish, akutana na baba yake Mkenya kwa mara ya kwanza tangu kuzaliwa

Mshindi wa Big Brother Africa 8 (BBA The Chase) mrembo kutoka Namibia Dillish Mattew amekutana na baba yake mzazi kwa mara ya kwanza tangu azaliwe wakati akisherehekea birthday ya kutimiza miaka 23.
Baba yake huyo, Abdi Guyo, kutoka Kenya alikutana na mama yake Dillish alipokuwa Namibia alipokuwa mmoja wa wanajeshi wa Kenya waliokwenda nchini Namibia kulinda amani. Alirudi Kenya baada ya muda wa kukaa Namibia kikazi kuisha na kumuacha mama yake Dillish mja mzito, na kupoteza naye mawasiliano miezi kadhaa baadaye.
Dillish's getting birthday present from her father, Abdi Guyo
Dillish’s getting birthday present from her father, Abdi Guyo
"Mom, Dad, me and Stephan!!" - Dillish
“Mom, Dad, me and Stephan!!” – Dillish
"Thank you all so much for the Birthday Wishes mwaaah!!"- Dillish
“Thank you all so much for the Birthday Wishes mwaaah!!”- Dillish
"The dance with my dad was priceless" - Dillish
“The dance with my dad was priceless” – Dillish

1255495_198634780309223_1819632146_n

8bb53cd41f8611e3807022000ae91388_7
Dillish3

No comments:

Post a Comment