Nina ameingia katika historia ya ulimbwende nchini Marekani baada ya kukamata nafasi ya kwanza ya mashindano ya urembo yaliyofanyika katika mji wa Antlantic ambapo pia amekuwa Miss New York wa pili kuwa Miss America.
Nina Davuluri - Photo: Getty Images |
No comments:
Post a Comment