Hili ni tukio la kutisha lililomkumba mtanzania mwenzetu ambaye ni mkazi wa kijiji cha Lionja kilichoko wilayani Nachingwea katika mkoa wa Lindi...
Mtanzania huyo alishambuliwa na simba wawili na kubakizwa vipande vipande alfajiri wakati akielekea katika shamba lake la korosho
Wanakijiji wakitaharuki baada ya kuuona mwili wa marehemu.
***
-Picha kwa hisani ya masai nyota mbofu.
No comments:
Post a Comment