Sheikh Ponda Akishuka kwenye basi la Magereza tayari kuingia Mahakamani Kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro...
Sheikh Ponda akiwa Chini ya Ulinzi Mkali wakati akiingia Mahakamani kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.
Sheikh Issa Ponda akiingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro leo kusikiliza kesi yake
Wafusi wa Sheikh Ponda wakiwa wakiwa mahakamani leo kusikiliza kesi ya Kiongozi wao iliyokuwa imetajwa mahama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro.
KATIBU wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Nchini, Sheikh Ponda lssa Ponda, amerudishwa mahabusu baada ya kunyimwa dhamana leo katika kesi yake iliyoendelea kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawdhi mkoa wa Morogoro.
No comments:
Post a Comment