aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, July 3, 2014

SHIJA ANASWA AKIKATA MAUNO

STAA wa filamu za Kibongo, Deogratius Shija ‘Shija’ alinaswa akiyakata mauno kama hana akili nzuri. 

Staa wa filamu za Kibongo, Deogratius Shija ‘Shija’ akikata mauno.
Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita nyumbani kwa mwigizaji Aunt Ezekiel kulipokuwa na sherehe ya mtoto kutimiza siku arobaini tangu kuzaliwa ambapo staa huyo alidaiwa kufanya hivyo akiwa na ‘akili za usiku’.

...‘Shija’ akionekana kuchangamka katika sherehe iliyofanyika nyumbani kwa anti Ezekiel.
“Mh! Nimejikuta naingia uwanjani moja kwa moja kwani ngoma ilinishawishi aisee nimecheza kinoma,” alisema Shija kwa lafudhi ya kukatakata maneno.