aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, July 5, 2014

MUIMBAJI WA KIKE (BIKIRA) AWAAHIDI BOKO HARAM URODA WAKIWAACHIA WASICHANA WALIOWASHIKILIA! SOMA HAPA


MUIMBAJI WA KIKE WA NIGERIA, ADOKIYE KYRIAN AMBAYE APRIL MWAKA HUU ALIDAI BADO NI BIKIRA NA ATAENDELEA KUWA HIVYO HADI PALE ATAKAPOPATA MWANAUME SAHIHI ATAKAYEMNUNULIA MAMA YAKE NDEGE BINAFSI, AMEMAKE HEADLINES TENA KWA KUWAAHIDI BOKO HARAM URODA WATAKAPOWAACHIA WASICHANA 300 WANAOWASHIKILIA.


“Natamani kujitoa mwenyewe kwao,” alisema Adokiye Kyrian kwenye mahojiano na gazeti la Vanguard.

“Wana umri kati ya miaka 12 na 15. Mimi ni mkubwa na mzoefu kidogo. Hata kama nikitembea na wanaume 10 hadi 12 kila siku, sijali. Waachieni wasichana hawa na warudi kwa wazazi wao,” alisema