aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, July 10, 2014

BAADA YA DIAMOND SASA NI MRISHO MPOTO,YUPO KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA TUZO ZA KORA "MSANII BORA WA ASILI"


Well done!
The 10 best traditional artists of the moment chosen by you through your votes !...

MRISHO MPOTA ASEMA KUWA "Nipo kwenye kumibora za kinyang'anyiro cha Tuzo za Kora "msanii bora wa Asili" tafadhali naomba kura yako. Jinsi ya kupiga kura LIKE page ya Kora kisha Comment kwenye picha inayoonyesha kundi la wasanii wa asili kwa kuandika jina langu. Kura yako itakua imehesabiwa.

I am in the TOP 10 in KORA AWARD's best traditional 2014. Please vote for me by liking the Kora Award's Facebook page and comment on the picture that shows the best traditional 2014 category. Your vote will be counted!!"