aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, July 20, 2014

BAADA YA AJALI YA MALAYSIA AIRLINE…NDEGE NYINGINE KUTOKA NCHINI UGANDA YATUA BARABARANI BAADA YA KUPATA HITIRAFU IKIWA ANGANI

01
Baada ya habari za ndege ya Malaysia airline hivi sasa ajali nyingine imetoka karibu kabisa na Tanzania ambapo ni nchini Uganda. Ndege hiyo ambayo ilikuwa imebeba wanajeshi 6 wa Marekani wakitoka Entebe kuelekea South Sudan imetua kwenye barabara ya magari baada ya hitilafu kutokea ikiwa hewani.
Lakini kwenye hii ajali hakuna aliyepata majeraha au kufariki kutokana na taarifa ya msemaji wa polisi nchini Uganda.
00