aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, July 13, 2014

DIAMOND PLATNUMZ AHUDHURIA RED CARPET YA UZINDUZI WA MOVIE YA THINK LIKE A MAN 2

Mtangazaji wa Television kubwa duniani ya E  Terrence J yupo nchini Tanzania ,ambapo pamoja na mambo mengine,alihost uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MEN TWO,na yeye akiwa mmoja ya nyota walioigiza humo,me na team yangu tulipata mwaliko,na hizi ni baadhi ya picha  tukiingia na  mahojiano ya kwenye red carpet
TERRENCE AKIZUNGUMZA JAMBO KABLA YA MOVIE KUANZA
Baada ya kutoka ,Nikisalimiana na baadhi ya mashabiki wangu 

No comments:

Post a Comment