STAA katika tasnia ya filamu Bongo, Jackline Wolper amefungukia kipaji cha wanaume kuhonga na kusema kuwa, si kila mwenye pesa nyingi anafanya hivyo bali inategemea na hulka ya mtu.
Jackline Wolper.
“Si kweli kuwa wauza unga ndiyo wanahonga sana wanawake au sisi mastaa, unaweza kuwa na bwana mfanyabiashara na mwingine kaajiriwa lakini huyo aliyeajiriwa akawa ana kipaji cha kuhonga, akakupa hata asilimia 75 ya mshahara wake na yule mwenye pesa nyingi akawa mbahili sana, ni kipaji tu,” alisema Wolper.
No comments:
Post a Comment