aaaaa
skip to main |
skip to sidebar
Staa wa muvi za Kinageria, Ini Edo anatarajia kuwa jaji katika kinyang’anyiro cha kumsaka Mrembo wa Black Afrika,
Staa wa muvi za Kinageria, Ini Edo anatarajia kuwa jaji katika kinyang’anyiro cha kumsaka Mrembo wa Black Afrika,linalotarajiwa kufanyika Oktoba 5, 2013 siku ya Jumamosi katika Jiji la London,Uingereza.
Kinyang’anyiro kimetajwa kuwa na ushindani mkubwa kwa washiriki ambapo kutakuwa na red capet.
Ini ataungana na Majaji wengine kama fashion designer Adebayo Jones,Charles Ven, Sporah Njau (Tanzania), Jenni Steele (Jamaica), na Justina Mutale…
Staa wa muvi za Kinageria, Ini Edo anatarajia kuwa jaji katika kinyang’anyiro cha kumsaka Mrembo wa Black Afrika,linalotarajiwa kufanyika Oktoba 5, 2013 siku ya Jumamosi katika Jiji la London,Uingereza.
Kinyang’anyiro kimetajwa kuwa na ushindani mkubwa kwa washiriki ambapo kutakuwa na red capet.
Ini ataungana na Majaji wengine kama fashion designer Adebayo Jones,Charles Ven, Sporah Njau (Tanzania), Jenni Steele (Jamaica), na Justina Mutale (Zambia).
No comments:
Post a Comment