aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 19, 2013

Wiz Khalifa,Amba Rose Kufanya Sherehe Ya Kifahari Ya Harusi Yao

Mwanamuziki Wiz Khalifa na mkewe Amba Rose wanatarajia kuangusha bonge la party la kifahari katika sherehe ya harusi yao mwishoni mwa wiki hii baada ya kufunga ndoa ya siri kwenye mahakama  katika Mji wa Los Angeles mwezi uliopita.
Habari zinasema kuwa wanandoa hao watatumia sherehe hiyo pia kumkaribisha mtoto wao wa kwanza, Sebastian Taylor Thomaz, ambaye alizaliwa mwezi Februari, ambapo kwa sasa wana mpango wa kufanya harusi kubwa ya kifahari mwishoni mwa wiki hii itafanyika katika klabu moja ya usiku.…

No comments:

Post a Comment