aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 18, 2013

Wema Sepetu na Ally Daxx kuwa majaji kwenye utafutaji wa models wa “Fashion Avenue”




aliModel anayefanya kazi nchini South Africa Ally Daxx na Wema Sepetu ndiyo
watakuwa majaji kwenye uchaguzi wa models ambao watatumika kwenye
 maonyesho ya mavazi ya Ally Rhemtulah. Mbunifu Ally Rhemtulah anategemea
kufanya fashion show 31 mwezi huu ambayo imepewa jina la “Fashion Avenue”
na watu wataenda kwa mualiko maalum.
Tarehe 18/8 ndani ya Serena Hotel kuanzia saa sita mchana ndiyo kazi nzima ya
kuchagua hao models.Majaji wengine watakuwa Mariam Ndaba maarufu kama
Missie Popular na Alfred Minja.
f
SOURCE:MILLARD AYO

No comments:

Post a Comment