aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 18, 2013

INAWEZEKANA HUYU NDIO BINADAMU ANAYEICHUKIA MANCHESTER UNITED KULIKO YOYOTE YULE….ASEMA NI BORA KUWA KABURINI KULIKO KUWA NDANI YA OLD TRAFFORD


united-grave
Manchester United kwa hakika ndio klabu ambayo inashabikiwa zaidi kwenye soka ulimwenguni, lakini pia inawezekana ndio klabu inayochukiwa zaidi pia. 
Hili linaweza kutihibitishwa na mtu mmoja aitwaye George Atkinson, ambaye alihakikisha kupitia mfuniko wa kaburi lake kwamba dunia inatambua namna anvyoichukia klabu bingwa ya England. 
 Bwana huyu alifariki dunia mnamo mwaka 2005 na tayari alishatoa kauli ya (Ni bora niwe chini ya hapa kuliko kuwepo Old Trafford) ambayo aliagiza iwekwe kwenye mfuniko wa kaburi ikitokea amefariki dunia. Atkinson inasemekana alikuwa ni shabiki wa Liverpool na hakuwa anaipenda United hata chembe.

No comments:

Post a Comment