aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 18, 2013

Wavuvi wamvua samaki mwenye kilo zaidi ya 200.


group-around-catch-222Wavuvi wa Ujerumani wamefanikiwa kuvua
 samaki kubwa ambaye anaweza kuwekwa 
kwenye rekodi ya dunia kama moja ya samaki
 wakubwa sana kuwahi kuvuliwa. Samaki 
waengine waliowahi kuvuliwa na kuweka 
rekodi ya dunia walikuwa na uzito wa kilo 
108, kilo 190, kilo 211 na wengine.
Samaki huyu amevuliwa na kilo kilo 233.5
 na 
urefu wa mita  2.63, wavuvi hao wanasema 
ilikuwa ni battle ya zaidi ya dakika 90 ili 
kumvua huyo samaki.Kiongozi wao anasema 
walidhani ndoano yao imenasa kwenye manowari
 kwasababu ilikuwa ngumu kuivuta
fish-1111-

No comments:

Post a Comment