aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 4, 2013

"NINA JINSIA MBILI, NATAFUTA MPENZI WA JINSIA YOYOTE"...OMBI LA MDAU WETU

Dunia  ina  mengi....Dawa  ya  tatizo  ni  kukubaliana  nalo.

Huyu  ni  jamaa  mwenye  jinsia  mbili   na  kwa  mujibu  wa  maelezo  yake  anadai  kuwa  jinsia  zote  mbili  ziko  poa (Active)..



Kinachofurahisha  zaidi  ni  kwamba  jamaa kakubaliana  na  tatizo...Haoni  kama  ni  shida  na  anaisha  maisha  ya  kawaida  kabisa...

Cha  kufurahisha  zaidi  nji  kwamba, jamaa  katangaza  kusaka  mchumba  wa  jinsia  yoyote

No comments:

Post a Comment