Fundi viatu mwenye miaka 29, ambaye amemlawiti mvulana mwenye umri wa miaka 11 huko Shalom,Lashibi karibu na Sakumono akidai kwamba yeye alifanya kitendo kile kutokana na umaskini.
Emmanuel Awuah alikiri na kutoa maelezo alipokamatwa , lakini alikuwa na haraka ya kuomba msamaha kwa wazazi wa mwathirika aliyemlawiti mara mbili kwa kutumia syle tofauti tofauti za ngono akiahidi kumnunulia mwathirika MP3 player na kumtengenezea viatu. Mahakama ya Tema inayoongozwa na Emmanuel Bart-plange Brew,haikupoteza muda wa kumsikiliza Awuah akiomba ahurumiwe na kumfunga jela miaka 20 na kazi ngumu.
Kwa mujibu wa maelezo ya Awuah, ilikuwa ghali kuchukua mwanamke siku hizi. Aidha, alikuwa fundi viatu wa kawaida ambae hakuwa na uwezo wa kuhudumia mwanamke, ndiyo maana alimlawiti mtoto huyo. Wiki chache zilizopita, Awuah alikutana na mtoto huyo pembeni ya mto Klagon karibu na Lashibi ambapo waliogelea wote kisha wakawa marafiki,.Siku kadhaa baadae Awuah alimwona mtoto Yule anacheza mpira akamwomba amtembelee na kumwahidi kumtengenezea viatu.
July 27,2013 kwenye saa tisa hiv jioni Yule mtoto alienda kumtembelea Awuah nyumbani kwake kuchukua viatu alivyomuahidi kuwa atamtengenezea, Ndio hapo alipomwambia amsindikize mtoni,na alikubali.Awuah na Yule mtoto walivua nguo ili waogelee,wakati wanaogelea Awuah akamwinamisha mtoto huyo na kumuingizia uume wake sehemu ya haja kubwa ambako alipata maumivu makali
Fundi viatu huyo aliyefanya kitendo hicho kisicho halali mtoni alimrudisha mtoto huyo kwao majira ya saa kumi na nusu hivi ambako alimlazimisha tena kulala na kumlawiti tena. Kabla ya kumlawiti alimziba na nguo mdomoni ili majirani wasisikie kilio chake akikataa asimwingilie,then akapaka mafuta uume wake ili aweze kumwingilia kirahisi.
Baada tendo hilo, alimwahidi tena kumnunulia MP3 player na kuondoka. Inasemekana kuwa mtoto Yule alianza kutoa harufu mbaya na alikuwa na mkao ambao sio wa kawaida ambao mama yake aliuona. Mama wa mtoto huyo alimuuliza mwanae ambae alisimulia yote aliyofanyiwa na Awuah mbele ya shahidi. Mama alienda kutoa malalamiko polisi.
Fomu ya polisi kwa ajili ya matibabu ilitolewa kwa mwathirika kuhudhuria hospitali kwa uchunguzi na matibabu. Ripoti ya matibabu ilithibitisha tatizo lake. Awuah hatimaye alikamatwa. Alikiri kosa na alipelekwa mbele ya Mahakama ya Tema ambapo alihukumiwa kifungo cha miaka 20 na kazi ngumu.
No comments:
Post a Comment