aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 4, 2013

KICHANGA CHAPOTEZA MAMA YAKE NA BIBI YAKE, MBAYA ZAIDI BABA YAKE ALIYEBAKI AKAPOOZA


Mtoto huyu mchanga anaitwa Aisha aliletwa kituo cha kulelea watoto yatima na kupokelewa na mkuu wa kituo hicho Bi Saida Hassan kwa jina la hapo mtaani watu hupenda kumwita Bi Khadija. Mtoto huyu aliletwa baada ya mama yake mzazi kufariki na, na pia bibi yake alifariki na baada ya hapo baba yake na Aisha alipooza (paralyse) mpaka kupelekea kichanga hicho kutopata msaada wowote. Ila Bi Khadija aliamua kumchukua mtoto huyo na kuanza kumlea. Kwa yeyote aliyeguswa ampigie simu Bi Khadija kwa simu ya mkononi ambayo ni 0754584926 ukitaka kufika kituo hiki cha wa mama kipo Sinza Mori, Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment