Haya ndio majibu ya Msanii Omary Faraji Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz, ameweka cheti hicho kinachoonyesha majibu ya VVU baada ya kwenda kupima katika hospital ya TMJ nakuamua kuweka hadharani kupitia mtandao wa instagram na kuandika;
"'TAHADHARI:Sinunui wala kuuza Mechi Tena nimepata tabu sana kufanya huu uamuzi.THANK YOU'
No comments:
Post a Comment