Ni mwanajeshi kutoka Marekani,miaka ya hivi karibuni alikua vitani ambapo alipoteza miguu yake miwili katika shambulio la bomu la kurushwa kwa mkono,aliporudishwa nyumbani kwa matibabu akilini alishajua amepoteza vingi maishani,akiwemo mkewe wa ndoa,ila tofauti na alivyotarajia mkewe ndio alikua mstari wa mbele kuhakikisha mumewe anapata matibabu stahiki na huduma zote muhimu,mpaka sasa mwanadada huyo amekua ni gumzo na shujaa katika jamii inayomzunguka,je ni wangapi mnaweza kufanya huu ushujaa pindi linapotokea tatizo kama hili?je tunajifunza kutoka kwa wenzetu wanaotuzunguka?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment