Msanii wa bongo movie Yobi nesh au Batuli katika pozi |
Mwandishi wa tsstz alijibanza asijulikane kama yupo eneo lile na hapo alimshuhudia slim omari msanii wa bongo movie akizidi kumsomesha Batuli ili akubaliane na anachomueleza japo hatukupata bahati ya kusikia walichokuwa wanaongea kwani wangejua nipo eneo lile.
Mara baada ya kupata picha za uhakika thesuperstarstz iliwafuata wawili hao na walipomuona muandishi wetu waliachina mikono haraka na kuanza kucheka huku slimu akionyesha kutokuamini kama amebambwa na muandishi wetu na kisha wakaondoka haraka eneo lile nakuingia katika mlango flan kwa staili ya kumkwepa muandishi wetu na tulipowafuata tulizuiliwa na ungozi wa eneo lile kwa madai ya kuwabuguthi wateja wao.
Hapa ni mwanzo Batuli alionekana kufurahiya maneno ya slimu |
baada ya kukata simu tulipigiaslimu na kwa upande wake hakutaka kupokea simu yetu
Hapa Slim Anaonyesha aliongeza utamu wa maneno na kumfanya Batuli aanze kuingia mkenge kwa maneno yake |
Endelea kuwa nasi tutahakikisha tunakuletea kilichojiri kwani kazi yetu ni kukupa habari popote pale ulipo nataka ujue hii sio filamu mdau ni tukio la kweli kaaa na sisi |
No comments:
Post a Comment