aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, August 2, 2013

Wasanii wajitolea kwenda kujenga kaburi la Bibi Kidude




Bibi Kidude mkongwe wa muziki Tanzania ambaye alifariki
 huko Zanzibar na kuzikwa visiwani hapo, kifo chake
 kilipata maombolezo ya watu tofauti tofauti pamoja 
na wasanii. Hivi sasa wasanii wa kizazi kipya 
wamejiunga pamoja kwenda kusimamia swala
 zima la kujenga kaburi la mkongwe huyu katika 
historia ya muziki Tanzania. Msafara wa wasanii 
hadi sasa unategemewa kwenda Zanzibar siku ya
 Jumamosi hii kukamilisha mpango huu.
Bibi Kidude alipewa heshima ya pekee kwa

 kupata kumbukumbu ya heshima kwenye 
tamasha la Ziff ambalo lilifanyika Zanzibar 
kwa wasanii kuimba nyimbo zake kwenye stage
 kubwa ya ZIFF. Msanii Linah ambaye alirudia
 wimbo wa Yalaiti akiwa na Mwana F.A aliperform
 wimbo huu kwenye kumbukumbu hiyo.
source:millard ayo

No comments:

Post a Comment