aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 4, 2013

Wapenzi wajirusha pamoja mbele ya treni hadi kufariki.



1
Unaweza kujiuliza kitu gani kinaweza kukutokea
 hadi ukafikia level ya kujitosa mbele ya treni 
wewe na mpenzi wako kwa lengo la kujiua. 
Hili ni tukio la kusikitisha sana lenye mafunzo
 ndani yake.
Binti mdogo mwenye miaka 21 na mpenzi wake 
mwenye miaka 25, wameamua kukatisha maisha 
yao na kuacha note yenye maneno “Two great 
people are going to paradise”.Kisa chote hiki 
kinatokana na mama wa binti Ariana O’Neal
 kukataa mapenzi ya hawa wawili.
David na Ariana walikuwa wanaishi jijini 
New York, katika mapenzi yao waliwai pia 
kukamatwa na polisi kwa kuhusuka na wizi 
wa vito kutoka kwenye duka la kuuza vito.
tragic
Ariana O’Nea

No comments:

Post a Comment