Mwanaume aitwae Dave Marcel,alifanya kosa kubwa sana baada ya kujaribu kumbusu samaki aitwae papa. Inasemekana kwamba papa huyo alidhani analishwa akamng'ata mdomoni. Kwa bahati nzuri papa huyo amefundishwa kwahiyo baada ya kumng'ata aligundua kosa lake akamuachia .Swali ni kwamba kwanini unataka kumbusu papa? Nadhani Dave alidhani yeye ni 'Super Man'....Eeeeeeeeiiii, these white people will kill us ooooo…lol.
Anabahati lakini coz alimng'ata alafu akamuachia.Wakati Dave anahojiwa kuhusu tukio hilo alisema anahisi yeye hana ladha nzuri ndio mana papa alimuachia.
Angalia video hapa chini
Anabahati lakini coz alimng'ata alafu akamuachia.Wakati Dave anahojiwa kuhusu tukio hilo alisema anahisi yeye hana ladha nzuri ndio mana papa alimuachia.
Angalia video hapa chini
No comments:
Post a Comment