aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 14, 2013

REFA APIGWA MPAKA KUTOA MAVI HUKO SUMBAWANGA BAADA YA KUTUHUMIWA KUIPENDELEA TIMU YA MUCHIZA FC

 

Mwamuzi na wachezaji watatu wa timu ya Serengeti SC ya wilayani Sumbawanga mkoani  Rukwa wamelazwa kwenye kituo cha Afya cha Laela baada kushambuliwa na kwa kupigwa sehemu mbalimbali za mwili katika mchezo wa Ligi ya ujirani mwema.

Mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi Kisalala kata ya Laela, ulitamatia dakika ya 75 baada ya kundi la mashabiki wa Serengeti FC kuanza kumshambulia mwamuzi kwa kumvua nguo na kisha  kumpiga mwamuzi Eliaza Simsokwe na hadi akajisaidia haja kubwa( kunya  mavituzi).



 Inadaiwa sababu ya kumpiga mwamuzi huyo ni kupinga bao lililofungwa na mchezaji wa timu pinzani ya Muchiza FC, Siyaye Mgonde wakidai alikuwa ameotea kabla ya kufunga.


No comments:

Post a Comment