aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 19, 2013

TOUR YA DIAMOND KENYA YAZUA JAMBO,AANDIKWA KWENYE MTANDAO WA KENYAN POST...


KTN’s dating show, Tujuane, seems to be creating celebrities every day. Many of you by now know that there is a new socialite in town who goes by the name Angel Maggy who is taking advantage of her five minutes of fame on TV to become popular.

During the Diamond Tour last week, Angel accompanied Diamond wherever he went and even had the opportunity to sleep with him. In his Nairobi show at KICC, Diamond went an inch further and dedicated a song for Angel dubbed Ukimwona.

The two were not strangers to each other because they had earlier met in Mombasa sometime last year and had a fling. Sources say the two have always kept in touch since.

 TRANSLATION
Dating show ya KTN, Tujuane,inaonyesha kuunda watu maarufu kila siku. Wengi wenu sasa hivi mnajua kuna 'socialite' mpya hapa mjini aitwae Angel Maggy ambaye anazitumia ipasavyo dakika tano za umaarufu kwenye TV ili awe mtu maarufu.

Wakati wa ziara ya Diamond week iliyopita,Angel alimsindikiza kila sehemu ambayo Diamond alienda alipata hadi nafasi ya kulala nae.Kwenye show yake ya Nairobi KICC,Diamond alizidisha inchi na kumdedicate Angel wimbo wa Ukimwona.

Wawili hao hawakuwa wageni kati yao kwasababu walishakutana Mombasa kipindi fulani hivi mwaka jana na walikua na mahusiano mafupi ya kimapenzi. Vyanzo vinasema wawili hao waliendelea kuwasiliana tangu kipindi hicho...

No comments:

Post a Comment