Familia ya marehemu katika ibada ya kumwaga marehemu Erasto Msuya iliyofanyika Jumatatu huko Sakina Arusha.

Dada wa marehemu Erasto Msuya katika ibada ya kumwaga marehemu kaka yake Erasto Msuya nyumbani kwake Sakina Arusha.

Mchungaji Abeli Msuya na mkewe wakitoa sala mbele ya jeneza la marehemu.

Ndugu jamaa na marafiki wakiwa na majonzi.

Mchungaji Mwanga akitoa neno katika ibada hiyo.

No comments:
Post a Comment