aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 3, 2013

TANZIA:MSIBA WA MAMA MASANJA...

 
Marehemu Jane Peter Masanja Enzi za uhai wake
Familia ya ndugu Peter Milambo inasikitika kutangaza kifo cha Mama yetu mpendwa Jane Peter Masanja kilichotokea Dar es Salaam,Tanzania siku ya Alhamisi Agusti 1, 2013 majira ya saa mbili asubuhi katika hospital ya Shree-Hindu Mandal.

Maziko yatafanyika siku ya Jumamosi Agusti 3, 2013, Dar es Salaam, Tanzania.

Kwa wakazi wa Washington DC-DMV, msiba utakuwa kwa mtoto wa kwanza wa Mrehemu Peter Milambo.
Anwani ni:- 2811 Nicholson st. #303, Hyattsiville MD 20782.

Pia kutakuwa na misa ya kumuaga siku ya Jumamosi, Agusti 3, 2013 saa moja usiku (7:00 PM).

Kama ilivyo kawaida yetu, ukipata muda mpigie simu au mtembelee nyumbani kwake ili kumpa pole kwenye kipindi hiki cha majonzi.

Kwa taarifa zaidi piga simu namba: Simu (202) 520-7205

Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.


No comments:

Post a Comment